Wasafi TV - Mpya | Kivumbi leo logo Wasafi TV - Mpya | Kivumbi leo

Wasafi TV - Mpya | Kivumbi leo

by Rubega Developers

🗂️ Music & Audio

🆓 free

4.9/5 ( 990+ reviews)
Android application Wasafi TV - Mpya | Kivumbi leo screenshort

Features Wasafi TV - Mpya | Kivumbi leo

TumekusogezeaWasafi Fans App | Tazama kila kitu cha Wasafi kupitia app hii.
Tunakusogezea vitu vyote muhimu na exclusive kutoka Wasafi kuanzia Wasafi Records mpaka Wasafi Radio na TV.Tazama shows, interviews, tours, video lyrics, life style, behind the scene na kusikiliza music pia kwenye app hii.
Na tazama vipindi vya Wasafi TV kila siku.Usipitwe na update, Kua wa kwanza kupata habari za wasanii wa WCB Wasafi kila zinapotoka.Programu hii haiweki nyimbo za kupakua zinazokiuka haki miliki.
Pakua programu hii kwa bure uweze kusikiliza miziki na kutazama video kwa kutumia internet.KanushoHii ni programu isiyo rasmi.
Programu hii na maudhui yake hayakubaliki rasmi au yanayotokana na, wala kuhusishwa na au kushirikiana na wasanii wa muziki au vyombo vilivyounganishwa vya msanii, kama vile usimamizi au lebo ya rekodi.
Marejeo yote na haki miliki ni mali ya wamiliki wao.
Programu hii ina matangazo yanayolingana na Sera ya Google Play na Tafadhali support wasanii na makampuni husika.
Asante.

🎵

Music Features

Enjoy high-quality music streaming and playback features.

🎮

Gaming Features

Enjoy immersive gaming experience with various game modes.

📸

Camera Features

Advanced camera features with editing capabilities.

Screenshots

See the Wasafi TV - Mpya | Kivumbi leo in Action

Wasafi TV - Mpya | Kivumbi leo Screen 1
Wasafi TV - Mpya | Kivumbi leo Screen 2
Wasafi TV - Mpya | Kivumbi leo Screen 3

Get the App Today

Download on Google Play

Available for Android 8.0 and above